jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WASHERKEA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA WATOTO WA MAHABUSU YA WATOTO JIJINI DAR LEO.

Share This
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front washerekea siku ya Mtoto wa Afrika na Watoto walipo katika Mahabusu ya watoto iliyopo maeneo ya Regency Hospitali jijini Dar es Salaam leo.

Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo hufanyika June 16 kila mwaka ambayo ni kumbukumbu ya Watoto wa Afrika kusini walikusanyika pamoja na kuandamana kwaajili ya kudai haki zao hasa haki zao.

Hata hivyo wafanyakazi wa Benki  ya CRDB tawi la Water Front wametoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto waliopo katika mahabusu hiyo kwaajili ya mahitaji yao madogo madogo mapoja na kunywa pamoja na watoto hao.
Mwakilishi wa Meneja wa Tawi la Water Front, na  Meneja wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Tawi la Water Front, Isaya Lyimo Meneja wa Kituo cha mabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan  
DSCF2907
Keki ya watoto wa mahabusu ya watoto  Dar es Saslaam iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front.
DSCF2903Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front wakikamkabidhi Meneja wa Kituo cha mabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan baadhi ya vitu walivyoenda navyo kwaajili ya watoto waliopo katika mahabusu hiyo jijini Dar es Salaam leo.
DSCF2894
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front akiwa katika picha ya Pamoja na Meneja wa Kituo cha mabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan jijini Dar es Salaam leo.
DSCF2846
 Meneja wa Kituo cha mahabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan akizungumza na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front kuhusiana na vitu vinavyotakiwa pamoja na historia ya kituo cha Mahabusu ya Watoto jijin Dar es Salaam leo.
DSCF2853
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front  wakimsikiliza Meneja wa Kituo cha mabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan wakati walipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam leo.
DSCF2859

DSCF2862

DSCF2869

DSCF2872
DSCF2878 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front wakiingia kwenye kituo cha mahabusu cha Dar es Salaam jijini Dar es Salaam leo.
DSCF2875
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front  wakiwa kwenye picha ya Pamoja na  Meneja wa Kituo cha mahabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassa. 
DSCF2881
 Meneja wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Tawi la Water Front, Isaya Lyimo akiwa kwenye kibao katika kituo cha mahabusu ya watoto Dar es Salaam jijini Dar es Salaam leo.
DSCF2893
Meneja wa Kituo cha mabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan  akiwa kwenye  picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam leo.
DSCF2912
 Meneja wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Tawi la Water Front, Isaya Lyimo  akikabidhi tolori Meneja wa Kituo cha mabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan  jijini Dar es Salaam leo.
DSCF2919
DSCF2920
Meneja wa Kituo cha mabusu ya Watoto Dar es Salaam, Ramadhan Hassan akisaini fomu za kufungua akaunti ya kituo cha mahabusu mara baada ya kutembelewa na wafanyakazi wa benki ya CRDB Tawi la Water front jijini Dar es Salaam leo.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad