jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

DUKA LA VIFAA LA AZAM FC LAZINDULIWA LEO NDANI YA BOTI YA KILIMANJARO 6.

Share This
Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya Jezi za  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililofungulia ndani yaboti ya Kilimanjaro 6 leo.IMG_0135
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba  akizungumza Michuz TV wakati wa uzinduzi wa duka la vifaa vya vya michezo pamoja na vitu mbalimbali vya Azam duka hilo limezinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.
IMG_0165
Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya skafu na vitamaa vya  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililozinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad