Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI, George Simbachawene akipokea hundi ya Shilingi Milioni 39 kutoka DCB Benki kwa ajili ya kununulia Madawati, leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI, George Simbachawene akikata utepe kuzindua Tawi la Benjamin Mkapa City, leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI, George Simbachawene akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya DCB linaloitwa Benjamin Mkapa-City.leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya DCB Benki Balozi, Paul Rupia akizungumza katika uzinduzi huo ulio fanyika leo jijini Dar es Salaam, Wakati wa Uzinduzi wa Tawi hilo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI,
George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa DCB Benki leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment