jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

TRA YATOA MAFUNZO YA ULIPAJI KODI KWA HIYARI KWA WANACHAMA WA TABOA JIJINI DAR LEO.

Share This
MAMLAKA ya mapato Tanzania(TRA) wametoa mafunzo kwa wanachama cha wasafirisha abiria(TABOA) jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na wanachama hao kulipa kodi kwa hiyari bila shuruti.



 Meneja elimu kwa mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, Diana Masalla akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA), kuhusiana na ulipaji wa kodi kwa hiyari katika sekta ya usafirishaji.
DSCF6008
 Meneja wa elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Gabriel Mwangosi akizungumza na wanachama cha umoja wa usafirishaji abiria hapa nchini (TABOA) jijini Dar es Salaam leo.
DSCF6014
DSCF6003Baadhi ya wanachama wa chama cha wasafirishaji abiria hapa nchini wakipata elimu ya kulipakodi kwa hiari inayoendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) jijini Dar es Salaam leo.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad