Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dares salaam kuzungumza na wawakilishi wa Mawakala wa Forodha na Bandari leo Machi 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyesha jinsi wizi wa fedha za serikali uliofanywa kwenye bandari ya Dar es salaam ukihusisha mabenki wakati akizungumza na Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo.
Baadhi ya Mawakala wa Forodha na Bandari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam leo Machi 21, 2016.
Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Alphayo Kidata akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizozuka katika mkutano na Waziri Mkuu
Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Alphayo Kidata akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizozuka katika mkutano na Waziri Mkuu
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).


No comments:
Post a Comment