jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPINDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA

Share This
 Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitali hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu  baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu).
DSCN0318
 Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukua maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo.
DSCN0332
 Naibu Waziri wa Afya  Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo.DSCN0340
Naibu Waziri wa  Afya  Mahmoudu Thabiti  Kombo akipata maelezo kwa Dkt. Dhamana  Fadhili Ramadhan  wakati alipotembelea wagonjwa wa maradhi ya kuharisha (kipindupindu) katika kituo cha Afya kiliopo Sheha ya Karakana. 
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad