Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa
Burundi hapa Nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye
alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya
kikazi.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini
Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa
Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar
hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo
Jijini Dar es salaa kwa mazungumzo ya kikaza
Picha na Chris Mfinanga.


No comments:
Post a Comment