Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kumtambulisha Flaviana Matata kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City
nchini Marekani. Kutoka kulia ni Flavianao Matata na kushoto Kaimu Mkurugenzi
mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.
Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akimkabidhi
cheti cha kumtambua kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City
nchini Marekani Flaviana Matata katikati ni Kaimu Mkurugenzi
mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.


No comments:
Post a Comment