Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya
gari Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mzalendo Jenerali Mstaafu Mirisho
Sarakikya wakatiu wa hafla ya kuwatunuku kamisheni maafisa wapya wa
jeshi katicha chuo cha Momduli jana.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali
Davis Mwamunyange.Jenerali Sarakikya amekabidhiwa zawadi hiyo kwa
kutambua mchango wake mkubwa kwa kujenga misingi imara ya jeshi la
Wananchi wa Tanzania lenye weledi na nidhamu ya hali ya juu(picha na
Freddy Maro)
Post Top Ad

Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AMPA ZAWADI JENERALI SARAKIKYA
RAIS KIKWETE AMPA ZAWADI JENERALI SARAKIKYA
Share This
Share This
Jiachie Blog
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
Newer Article
TPA YASIFU BENKI KUONGEZA MUDA WA KAZI
Older Article
KIYABO ATUNUKIWA CHA CHETI CHA ELIMU YA JUU KATIKA MASUALA YA BENKI JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment