Naibu Gavana wa Benki Kuu Nchini (BOT), Natu Mwamba
akizungumza katika mahafali ya 17 ya Tanzania Institute of Bankers yalifanyika
jana katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mhitimu wa Cheti ya Cha Juu katika Masuala ya Benki,Yahya
Kiyabo akitunukiwa cheti na Naibu Gavana wa Benki Kuu Nchini (BOT), Natu
Mwamba wakati mahafali ya 17 ya Tanzania
Institute of Bankers yalifanyika jana katika viwanja vya Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Naibu Gavana wa Benki Kuu Nchini (BOT), Dk.Natu Mwamba
akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kozi za juu katika masuala ya benki
katika mahafali ya 17 ya Tanzania Institute of Bankers yalifanyika jana katika
viwanja vaya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel
Massaka Globu ya jamii)


No comments:
Post a Comment