Askari wa kampuni ya G1 Security wakimrekebisha mtuhumiwa wa wizi ambaye jina lake halikufahamika mara moja,alinaswa akiwa katika harakati za kutaka kufanya uhalifu katika Jengo la PAlM RESIDENCE jijini Dar es salaam.
Mtuhumiwa wa wizi ambaye
alikusudia kufanya
uhalifu katika Jengo la PAM RESIDENCE
jijini Dar es Salaam akitolewa nje na Askari wa kaampuni ya G1 Security.
Mtuhumiwa wa uharifu katika jengo la PAM RESIDENCE
jijini Dar es Salaam.
Askari wa kaampuni ya G1 Security wakuwa na mtuhumiwa ambaye jina lake halikupatikana
mara moja wakiwa nje ya jengo PAM
RESIDENCE jijini Dar es Salaam.


No comments:
Post a Comment