Na Bashir Yakub
Makala
zilizopita nilieleza mambo au taarifa muhimu zinazopaswa kuwa kwenye mkataba wako
unapokuwa unanunua
nyumba/kiwanja.
Nikasema katika
niliyosema kuwa mkataba lazima uoneshe ukitokea mgogoro utatatuliwa vipi, ueleze kuwa
utapotokea mgogoro muuzaji lazima
awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano mnunuzi
ili kumaliza mgogoro huo na kuwa
muuzaji kama ana mke
basi mke wake ni lazima aandaiiwe
nyaraka iitwayo ridhaa ya
mwanandoa ambayo ni tofauti
na mkataba na aisaini
pamoja na kuweka picha yake.
Nilieleza mengi lakini hayo ni baadhi tu. Kwa wale ambao hawakubahatika kuyasoma hayo basi waandike neno "MAKALA SHERIA" kwenye google watapata makala hizo.
Leo
tena naeleza hatua muhimu sana au
ya lazima na lazima haswaa kwa mnunuzi wa kiwanja/nyumba ambayo anatakiwa apitie
kabla ya kufanya manunuzi.
Hatua hii kwa
jina la kitaalam huitwa
OFFICIAL SEARCH kwa lugha rahisi tu waweza kuiita utafiti,upekuzi, upembuzi au upelelezi rasmi ambayo hufanywa na wanasheria. Mi napenda
niite upelelezi.
.jpg)


No comments:
Post a Comment