PSG Ataanzaje Msimu Baada ya Kuukosa Ubingwa?
Baada ya mapumziko
ya takribani miezi miwili, hatimaye vilabu vipo tayari kuanza kurejea dimbani,
na wikiendi hii mambo yatakuwa moto kwenye viwanja mbali mbali vya soka. Meridianbet wameanza
na wewe katika ufunguzi wa msimu na gemu za awali kabisa!
Tukianzia Ufaransa
wikiendi hii Paris Saint Germain anakutana uso kwa uso na Lille katika mechi ya
ufunguzi wa msimu, mechi ya Trophee des Champions ndani ya dimba la Bloomfield,
Tel Aviv –Israel. Bila shaka PSG hajajiandaa kupoteza taji jingine mbele ya
Lille. Meridianbet
wamekuwekea odds ya 8.00 kwa PSG kushinda kwa bao 2-0.
Huko Ureno pia
Sporting CP anavaana na Braga kwenye mechi ya taji la Supertaca Candido de
Oliveira, dimba la Estádio José Alvalade XXI huko Portugal litawashuhudia wawili
hawa wakivutana mashati. Braga ana kumbukumbu nzuri baada ya kutwaa taji hilo
msimu uliopita kwa kuwafunga Benifica 2-0. Mpe ushindi
Sporting kwa bao 2-1 na upate odds ya 9.00 toka Meridianbet.
Dabi ya kupimana
nguvu ya washika mtutu, Arsenal ndani ya Emirate Stadium dhidi ya Chelsea
kuelekea msimu mpya ni fursa ya timu zote kuonesha ubora wa vikosi, Bluez
anakumbukumbu mbaya katika dimba la Emirate akibamizwa 3-0 msimu uliopita wa
ligi kuu. Meridianbet
wamekupa odds na machaguo mengi kwa mechi hii.
Meridianbet
wamekuwekea michezo mingine kibao, ambayo bado inakupa fursa ya kuchagua wapi
uweke mkwanja na uvune mkwanja zaidi. Chagua michezo
kuanzia soka, esports, bashiri za live na michezo yapo mingine unayoipenda
zaidi.
Furahia ushindi na Mabingwa, Meridianbet!
SM Content
Facebook
Wikiendi poa ya
ushindi na #meridianbet inakujia na gemu kali za ufunguzi wa msimu, Lille na
Sporting CP wanasaka kuendeleza ubabe wao msimu huu. Arsenal naye uso kwa uso
dhidi ya Chelsea! Kamata mpunga wako kwa kupiga *149*10# kubashiri sasa.
#shindanameridianbet #bashirinamabingwa
Instagram
Wikiendi poa ya ushindi na #meridianbet
inakujia na gemu kali za ufunguzi wa msimu, Lille na Sporting CP wanasaka
kuendeleza ubabe wao msimu huu. Arsenal naye uso kwa uso dhidi ya Chelsea!
Kamata mpunga wako kwa kupiga *149*10# sasa.
#shindanameridianbet #bashirinamabingwa
Twitter
Wikiendi poa ya ushindi na #meridianbet
inakujia na gemu kali za ufunguzi wa msimu, Lille na Sporting CP wanasaka
kuendeleza ubabe wao msimu huu. Arsenal naye uso kwa uso dhidi ya Chelsea!
Kamata mpunga wako kwa kupiga *149*10# sasa.
#shindanameridianbet #bashirinamabingwa
No comments:
Post a Comment