JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


WAGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI JIMBO LA TUNGUU KWA TIKETI CCM WANDAA BONANZA LA MICHEZO MBALIMBALI KWA WANAWAKE WA JIMBO HILO

Share This
 Washiriki wa mchezo wa kukuna nazi wakishindana katika Bonanza la michezo ya Jimbo la Tunguu yaliyofanyika kiwanja cha Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.
 Mmoja wa washiriki akifurahia kumaliza kukuna nazi.
 Mshiriki wa mbio za Baskeli Zainab Juma akimaliza mbio hizo akishikilia nafasi ya nne.
 Mgombea uwakilishi Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Simai Mohommed Said akiteta kitu na Mwenyekiti wa CCM Jimbo Tunguu Khatib Ramadhan Iddi (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdallah Ali.
 Mwenyekiti wa CCM Jimbo Tunguu Khatib Ramadhan Iddi akizungumza na washiriki wa CCM Bonanza lililofanyika Bungi Mkoa wa kusini.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdallah Ali akimpa zawadi kepte wa tim ya Nage ya Bungi (B) Shida Saidi. (Kulia) mgombea Upunge wa Jimbo la Tunguu Khalifa Salim Suleiman. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad