JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 8, 2015.

Share This
Huu ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 7, 2015

STAR TV
Jaji Warioba asema msimamo wake juu ya katiba upo palepale. Mchina aburuzwa kortini kwa kukamatwa na meno ya tembo. Pitia dondoo za magazeti; https://youtu.be/HtGgKZ3A8Ls

TBC
Siri ya mgao wa umeme hii hapa. Gazeti la Nipashe linabebwa na taarifa hiyo katika ukurasa wake wa mbele siku ya leo;  https://youtu.be/AXA-msJWfDM

Ch 10
JK aongoza maelfu  kumuaga mchungaji Mtikali. Zitto akaliwa kooni. Pata habari motomoto zilizopewa kipaumbele katika magazeti; https://youtu.be/3nqnh71ga4A

MLIMANI TV
Msigwa apandishwa kizimbani, Kingunge kumnadi Lowasa leo. Anaswa na vichingio 114 Mkoani Kagera;https://youtu.be/vAOPuvj9tps

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad