JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Share This
Mgombea uraisi kupitia chadema Edward Lowassa aahidi kupitia upya mitaala ya elimu endapo atachaguliwa kuwa raisi. https://youtu.be/PSFDx55f0m4  

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam lazuia maandamano ya Bawacha kwa sababu mbalimbali ikiwemo usalama. https://youtu.be/juGGCcFWcSg  

Wakazi wa kaliua mkoani Tabora wanakabiliwa na kero ya ukosefu wa maji safi na salama pamoja na huduma za afya hivyo kuwataka wagombea kutoa ahadi za ukweli. https://youtu.be/03bAdbWt_AY  

Mgombea ubunge wa jimbo la Mbagala kwa chama cha NRA asikitishwa na hatua ya vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa kutoa nafasi finyu kwa walemavu. https://youtu.be/d_7TDTiqK3I  

Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Bw.Kinana awaonya wanasiasa vijana kutumia lugha ya matusi wawapo majukwaani. https://youtu.be/MgBYaLIiLGQ   

Mgombea mwenza wa uraisi wa ACT wazalendo Hamadi Yusuph asema endapo ataingia madarakani atahakikisha uwepo wa nidhamu kazini. https://youtu.be/CMYqE_eDMsk   

Mgombea ubunge wa chadema katika jimbo la Songea asema endapo chama chake kitaingia madarakani kitahakikisha kinatoa elimu na matibabu bure. https://youtu.be/AbP6IWEwIT4   

Chama cha mapinduzi CCM jimbo la Ubungo kimefanikiwa kupenya ngome ya ukawa kwa kuvuna wananchama wa vyama hivyo.

Juhudi za kuwaokoa vijana 6 waliofukiwa na kifusi mgodini zimekwama baada ya eneo hilo kuwa na kichanga na kukwamisha matumizi ya teknolojia. https://youtu.be/xBwobAoRte8  

Viongozi wa dini nchini waaswa kutojihusisha na masuala ya kisiasa na badala yake kuendelea kulinda amani na utulivu uliopo nchini. https://youtu.be/yid3HNtn_hc  

Mgombea uraisi wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr.Shein aahidi kujenga barabara ya lami kisiwani Pemba endapo atashinda uraisi. https://youtu.be/6FDCKXbj2QU  

Mgombea mwenza wa uraisi kupitia CCM Samia Suluhu aahidi kuwaletea kivuko wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza. https://youtu.be/TFvMer4fO_k  

Raisi Kikwete ameliagiza shirika la umeme nchini TANESCO,kuharakisha matumizi ya gesi asilia kwenye mitambo yake ya kufulia uememe. https://youtu.be/6OVbBsu2JUc
   
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kupitia mgombea mwenza wa uraisi asema rushwa itaondoka nchini iwapo vipato vya wananchi vitakidhi mahitaji yao. https://youtu.be/38r_wvwe1Q8
Licha ya ugonjwa wa kipindupindu kutikisa jiji la Dar es salaam bado hali ya uchafu inazidi kuwa mbaya katika maeneo ya masoko na mitaa mbalimbali na kuzua hofu wakazi wa maeneo hayo. https://youtu.be/TOX61D_HLcQ
Wawekezaji wazawa katika sekta ya mifugo mkoani Iringa waiomba serikali kuingiza madawa ya mifugo katika utaratibu wa ruzuku ili kupunguza gharama za uendeshaji. https://youtu.be/mvtCC4EIBTY

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad