JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


UZINDUZI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUFANYIKA KIGOMA 5 AGOSTI 2015

Share This
 Katibu wa Bodi ya Taasisi ya Mafunzo na utafiti Tanzania Kassim Rashid akizungumza na baadhi  ya waandishi wa habari  hawapo pichani juu ya kuwapa taarifa kuhusu shughuli ya uzinduzi wa  mafunzo ya ujasiriamali yatakayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma mnamo  5 Agost 2015 ambayo yataendeshwa na wakufunzi kutoka kampuni ya mafanikio ya Vijana Juniour  Achievements Tanzania na (TATROC.) kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Juniour Achievements Tanzania na (TATROC.) Maria Ngowi kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za (TATROC.) zilizopo Quality Plaza  barabara ya Nyerere leo Jiji Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Juniour Achievements Tanzania na (TATROC.) Maria Ngowi akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi huo vijana watanzania kuwa na elimu ya Ujasiriamali Taifa letu linaweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo na kiuchumi  kwani wengi  wa vijana watakuwa na shughuli za kufanya kuwawezesha kupata maisha bora kushoto ni Katibu wa Bodi ya Taasisi ya Mafunzo na utafiti Tanzania Kassim Rashid kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za (TATROC.) zilizopo Quality Plaza  barabara ya Nyerere leo Jiji Dar es Salaam
Baadhi ya waandishi wa habari walio hudhuria kikao hicho kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za (TATROC.) zilizopo Quality Plaza  barabara ya Nyerere leo Jiji Dar es Salaam Picha na Emmanuel Massaka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad