JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN HAPA NCHINI YAPATA MKURUNGENZI MPYA

Share This
 Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Mubita Akapelwa  akiwashukuru baadhi ya wafanyakazi wa kampuni kwa ushirikiano walio uonesha wakati wa utendaji wake kazi katika hafla ya  kumuaga na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji  Mpya wa Kampuni hiyo Paul Mhato iliyofanyika katika ukumbi wa Sea criff jijini Dar es Salaam. 
 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Mhato akifurahia  jambo  katika hafra  ya kumkaribisha Mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo na kumuaga Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta Engen hapa nchini, Mubita Akapelwa   aliee maliza muda wakekatikati kulia ni Meneja Utawala Kampuni ya Mafuta Engin  Tanzania Shannel Sihuimba.
 Kushoto ni Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Mubita Akapelwa   aliemaliza muda wake akipeana mkono wa shukurani na  Meneja Masoko wa Kampuni ya Mafuta Engin Tanzania Shabaani Kajungilo.
 Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Mubita Akapelwa   aliemaliza muda wake  wa kufanya kazi katika kampuni hiyo (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa  Msaidizi wa Mkurungenzi wa  Kampuni ya Mafuta ya Tanzania ya Engen  Donathi Mbarara.
Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya EngenTanzania, Mubita Akapelwa   aliemaliza muda wake  akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi  ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo.
  Picha na Emmanuel Massaka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad