JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


PPF YAALIKA WATANZANIA MAONYESHO YA BIASHARA 2015

Share This
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa waliovalia vema na kuwa watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. PPF imewaahidi Watanzania kutembelea banda lao ili kujua huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, ikiwemo fao la elimu, na ule mpango wa uchangiaji wa hiari. Rais Jakaya Kikwete, anatarajiwa kufungua maponyesho hayo yaliyoanza Juni 28, 2015, hapo Julai Mosi
 Mmoja wa watu waliotembelea banda la PPF, akipatiwa maelezo na Mfanyakazi wa PPF, (Kulia), kwenye siku ya kwanza ya maonhyesho hayo Juni 28, 2015

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad