Mwenyekiti wa Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu maazimisho
siku ya wajane Duniani itakayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja
Jeshini jijini Dar es Salaam Juni 23 mwaka huu.
Maadhimisho hayo
yatalenga kusaidia wajane kisheria, kupata elimu pale
wanapo kwama kushawishi jamii kuandaa wosia ili kupunguza au kuondoa
usumbusu. Kulia ni Katibu Chama cha Wajane Tanzania John Shabani
mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa idala ya Habari MAELEZO leo
Jiji Dar es Salaam.
Katibu Chama cha Wajane Tanzania John Shabani akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu kutoa
fursa ya kuzungumzia matatizo yanayowakumba wajane hasa wanawake na
watoto wao ili kurejesha haki zao na kupambana na umaskini kwa
kuwezeshwa.Kushoto ni
Mwenyekiti wa Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt.
Mwenyekiti wa Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt.
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria katika kikao mkutano wa chama cha
wajanae hapa nchini mkutano ulifanyika katika ukumbi wa idala ya Habari
MAELEZO leo Jiji Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka.)
No comments:
Post a Comment