JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Rais Samia akutana na kuzungumza na Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu Jijini Dar

Share This

 

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na Baraza la Vyama vya Siasa kwenye Kikao kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Novemba, 2026.




Viongozi wa Vyama mbalimbali vya Siasa wakiwa kwenye Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Novemba, 2026.




Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha na Wenyevyiti wa Vyama vya Siasa baada ya kushiriki katika Kikao na Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Novemba, 2026.
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad