JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


RAIS DK.SAMIA AAGANA NA BALOZI WA AFRIKA KUSINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI LEO

Share This

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Noluthando Mayende-Malepe, Balozi wa Afrika Kusini anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Novemba, 2026.






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na Mhe. Noluthando Mayende-Malepe, Balozi wa Afrika Kusini anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Novemba, 2026.




 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad