JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Dau Dogo, Ushindi Mkubwa Sasa

Share This

 


KWA dau dogo tuu unaweza ukatengeneza zaidi ya Mamilioni kwenye mechi za UEFA leo. Mechi kibao za ushindi zipo kwaajili yako. Unasubiri nini sasa? Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi leo

Tukianza na mechi ya Club Brugge wao watamleta Liverpool kwao huku wakionekana kuwa na kiwango kizuri, wakiwa hawajapoteza michezo sita iliyopita na wamefunga mabao 18 katika michezo hiyo. Ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya PSV na ule wa mabao 4-3 dhidi ya Inter unaonyesha kuwa wana uwezo wa kuziumiza timu kubwa.

Huku Liverpool wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na morali baada ya kuichapa Manchester United mabao 4-0. Kikosi cha Andoni Iraola kina uwezo mkubwa wa kushambulia kupitia Florian Wirtz, Mohamed Salah na Dominik Szoboszlai.

Hata hivyo, Liverpool wanahitaji kuboresha ulinzi wao, hasa wanapokuwa ugenini. Pia, kukosekana kwa Hugo Ekitiké, Cody Gakpo na Conor Bradley kunaweza kuathiri mipango yao ya mchezo. Suka jamvi hapa.

Mshindo mkubwa upo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Bayern Munich atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Lille ambao wamekuwa hawana mwendelezo mzuri kwenye ligi na pia wametoka kupoteza mechi ya ligi iliyopita. Vijana wa Kompany wanaonekana kuwa na nafasi nzuri ya kushinda kutokana na ubora wa kikosi na uzoefu wao wa UEFA. Hata hivyo, Lille wana faida ya kucheza nyumbani na wanaweza kuwapa Wajerumani wakati mgumu.

Lille wamekuwa na matokeo yasiyoridhisha katika UEFA, wakiwa na pointi moja pekee baada ya michezo minne. Changamoto yao kubwa imekuwa kutengeneza matokeo mazuri dhidi ya timu zenye ubora mkubwa.

Bayern wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na wachezaji wengi ambao wapo majeruhi huku pia wakioneskana kumkosa mshambuliaji wao Harry Kane ambaye aliumia mechi ilitopita. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Bashiri hapa.

Pia mechi nyingine ni hii ya PSG dhidi ya AS Roma ambayo imekuwa ya moto sana msimu huu wakiwa nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi wakiwa hawajapoteza mechi yoyote mpaka sasa.

Ikumbukwe kuwa PSG ndio bingwa mtetezi wa michuano hii, huku pia wakiwa wao ndio vinara wa kwenye msimamo wa UEFA, kwahiyo hii ni mechi ambayo inazikutanisha timu ambazo zote zinafanya vyema kwenye ligi zao. Vijana wa Enrique wana wachezaji wengi ambao ni majeruhi huku Desire naye akiongezeka kwenye majeruhi hao.

Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Paris kutokana na faida ya kucheza nyumbani. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa.

Na mechi ambayo itakuwa ikisubiriwa kwa hamu ni hii ya Sporting CP dhidi ya Manchester United ambapo wenyeji wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na matokeo mazuri, wakishinda michezo mitatu kati ya minne ya UEFA na kukusanya pointi tisa wakiwa na wachezaji muhimu akiwemo Luis Suarez kwenye eneo la ushambuliaji.

Wakati huo huo Manchester United wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na presha kubwa baada ya kufungwa mabao 4-0 na Liverpool. Matokeo hayo yameonyesha changamoto zao katika safu ya ulinzi, ambayo imekuwa ikiruhusu mabao mengi.

Hata hivyo, United wana wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo ya mchezo. Bruno Fernandes ndiye kiungo muhimu katika kutengeneza nafasi, huku Bryan Mbeumo na Amad Diallo wakitarajiwa kuongeza makali ya mashambulizi.

Hii ni mechi ambayo Pochettino anatakiwa kuumiza kichwa kuwa atafanya nini ili aweze kuokoa jahazi. Je atananikiwa kufanya nini kule Lisbon?. Beti hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad