JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Cheza Mizunguko 100, Upate Mizunguko 50 Ya Bure

Share This

 


MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse Studios imekuja na ofa maalumu kwa wapenzi wa michezo ya kasino kupitia mchezo wa Wild White Whale, ambapo wachezaji wanapata nafasi ya kutuzwa mizunguko 50 ya bure baada ya kucheza mizunguko 100 katika mchezo huo.

Ofa hii inalenga kuongeza burudani na kuwapa wateja uzoefu zaidi wanapofurahia michezo ya kasino ndani ya Meridianbet.

Kupitia promosheni hii, mchezaji anatakiwa kucheza jumla ya mizunguko 100 katika mchezo wa Wild White Whale ili kustahili kupata zawadi ya mizunguko 50 ya bure siku inayofuata.

Kinachofanya ofa hii kuwa ya kipekee ni kwamba zawadi hiyo hutolewa bila kujali kama mchezaji ameshinda au amepoteza katika mizunguko yake 100 ya mwanzo.

Wild White Whale ni mchezo unaopatikana ndani ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, ukiwapa wachezaji nafasi ya kufurahia burudani ya kidijitali kupitia mfumo wake wa uchezaji. Kupitia ofa hii, wapenzi wa kasino wanaweza kuufurahia mchezo huku wakipata fursa ya kuongezewa mizunguko mingine 50 ya bure kwa mujibu wa masharti ya promosheni.

Ni muhimu kufahamu kuwa mizunguko hiyo ya bure inatumika katika mchezo wa Wild White Whale pekee. Ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja, Meridianbet pia inahifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni wakati wowote, huku washiriki wakitakiwa kuzingatia vigezo na masharti ya kampuni.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Usipitwe na ofa hii maalumu! Tembelea Meridianbet, soma vigezo na masharti ya promosheni, kisha furahia mchezo wa Wild White Whale. Kumbuka furaha ya krismas imeambana na meridianbet msimu huu. Jiunge na meridianbet ufurahie mizunguko ya bure.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad