TIMU ya taifa ya Ugiriki itakuwa mwenyeji wa Ujerumani leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, katika mchezo wa UEFA Nations League utakaopigwa Uwanja wa Toumba, Thessaloniki. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 21:45 usiku.
Ugiriki inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na morali kubwa baada ya kuifunga Ujerumani bao 1-0 katika mchezo uliopita wa makundi uliochezwa Septemba 27. Nyota Dimitris Kourbelis ndiye aliyefunga bao pekee dakika ya 74, huku ushindi huo ukiwa wa kwanza kwa Ugiriki dhidi ya Ujerumani katika historia ya michezo yao 11 ilyopita.
Matokeo hayo yameifanya Ugiriki kuanza vyema kampeni yake katika Kundi A2, huku timu hiyo ikiwa imekusanya pointi sita baada ya michezo miwili. Kabla ya kuifunga Ujerumani, Ugiriki pia iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Serbia, hivyo itakuwa na jukumu la kulinda nafasi yake katika kilele cha msimamo wa kundi.
Kwa upande wa Ujerumani, mchezo huu unakuja wakati ambao timu hiyo inahitaji matokeo mazuri baada ya kupata pointi moja pekee katika michezo yake miwili ya mwanzo.
Ujerumani ilianza kwa sare ya 1-1 dhidi ya Uholanzi kabla ya kupoteza 1-0 nyumbani dhidi ya Ugiriki, Huku kocha Jürgen Klopp akiwa bado hajapata ushindi katika mechi zake mbili za kwanza tangu aanze kuiongoza timu hiyo.
Historia inaonyesha Ujerumani imekuwa na rekodi nzuri zaidi katika michezo yao, ikiwa na imeshinda michezo saba dhidi ya Ugiriki mmoja, huku michezo mitatu ikiisha kwa sare.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Hata hivyo, ushindi wa hivi karibuni wa Ugiriki umeongeza mvuto wa mchezo huu, huku macho yakielekezwa kuona kama wenyeji wataendeleza matokeo yao au Ujerumani itajibu kwa ushindi muhimu katika harakati za kurejea kileleni mwa Kundi A2.



No comments:
Post a Comment