JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Siku ya Kuwinda Ushindi Mkubwa Hii Hapa

Share This

 


LEO hii ushindi mkubwa unakungoja wewe, mechi nyngi zinaendelea hadi katikati ya wiki, kama hukubahatika kushinda wikendi basi huu ndio muda sahihi, ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

Majira ya saa 4 usiku Coventry City atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Newcastle United ambapo wenyeji ni mabingwa wa Championship msimu uliopita na mpaka sasa msimu huu kwenye mechi tano walizocheza kwenye ligi kuu wamekusanya pointi 3 pekee hivyo ushindi ni muhimu sana kwenye mechi hii.

Newcastle wao hadi sasa wapo nafasi ya 9 baada ya kujikusanyia pointi 8 huku nao wakiuangalia mchezo huu kwa jicho lingine kwani nafasi ambayo waliyopo sio nzuri kama wanataka kumaliza nafasi 4 za juu. Jisajili hapa.

Coventry walianza vibaya sana msimu kwa kupoteza mechi nne mfululizo, ikiwemo kipigo cha 5-0 dhidi ya Brighton. Hata hivyo, waliingia mapumzikoni ya kimataifa wakiwa wamepata ushindi muhimu wa 1-0 dhidi ya Nottingham Forest, lakini timu hiyo pia ina changamoto kwenye eneo la mbele ya kufunga magoli licha ya kupata nafasi nzuri.

Mkwanja upo kwenye michezo Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Newcastle wanaonekana kuwa na faida kwenye ubora wa kikosi na uzoefu wa EPL. Pia waliondoka kabla ya mapumziko ya kimataifa wakiwa wamepata ushindi wa 2-1 dhidi ya Hull City, licha ya kuwa na wachezaji wengi waliokuwa majeruhi.

Mapumziko hayo yamewapa nafasi baadhi ya wachezaji muhimu kurejea. Joelinton na Nico González walionekana wakishiriki sehemu ya mazoezi, hivyo kuna matumaini ya kuwa Newcastle watakuwa na kikosi imara zaidi dhidi ya Coventry. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti hapa.

Vilevile kule LALIGA kutakuwa na mchezo mmoja ambapo Sevilla atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Levante ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 8, mwenyeji yupo nafasi ya 17 na ngeni wake nafasi ya 5.

Kila timu inahitaji ushindi leo kujiweka kwenye nafasi nzuri, lakini mwenyeji ndio anahitaji zaidi kutokana na nafasi ambayo anaishikilia kwani sio nzuri kabisa kwenye mwanzo wa ligi. Odds kubwa zipo hapa, ingia na usuke jamvi hapa.

Takwimu zinaonsha kuwa mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, yaani kwenye mechi zote mbili, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni atakubali kupoteza kwa mara nyingine tena?. Suka jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad