Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akikaribishwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na wajumbe wa menejimenti wa Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akikaribishwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kushiriki kikao kazi na wajumbe wa menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akisalimiana na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati anawasili kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisalimiana na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati anawasili kushiriki kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akizungumza na uongozi na menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam..jpeg)
.jpeg)
Baadhi ya wajumbe wa menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakijitambulisha kabla ya kikao kazi cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kushiriki kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akipokea nyaraka mbalimbali za utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao kazi hicho na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda, Wakili Mkuu Wa Serikali, Dkt. Ally Possi na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi.Alice E. Mtulo baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi baina ya menejimenti ya Ofisi hiyo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikal, Bi. Prisca Ulomi akiongoza ratiba ya kikao kazi baina ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo wakiagana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhe. Balozi Baraka Luvanda baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam.

.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)


.jpeg)


.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)








No comments:
Post a Comment