JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Cheza, Shinda Na Ukusanye Pointi Zaidi Kwenye Endophina Tournament

Share This

 


MCHEZO umebadilika na sasa burudani imeongezeka zaidi. Endorphina Tournament imewasili rasmi ndani ya Meridianbet, ikiwa inawaletea wapenzi wa kasino mtandaoni nafasi ya kushindana kwa pointi kupitia ushindi wao kwenye sloti zinazoshiriki. Hapa si suala la kucheza tu, bali kila ushindi unaweza kuwa hatua nyingine kuelekea kuongeza alama zako kwenye mashindano.

Kushiriki kwenye mashindano haya ni rahisi. Unachohitaji ni kuweka dau lako tu. Baada ya hapo, kila ushindi unaoupata kwenye sloti zinazostahili utakuletea pointi kulingana na kiwango cha vizidishi ulivyojipatia. Hii ndiyo sehemu inayofanya mashindano kuwa na msisimko zaidi, kwa sababu kadiri ushindi wako unavyokuwa mkubwa ukilinganisha na dau lako, ndivyo pointi unazoweza kukusanya zinavyoongezeka.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Yaani mambo ni rahisi namna hii, kwa mfano ukiweka dau la Tsh. 3,000 na ukashinda Tsh. 30,000, utapata pointi 1,000. Lakini ukirudi tena na dau la Tsh. 3,000 na safari hii ukashinda Tsh. 60,000, pointi zako zitakuwa 2,000. Hivyo, ushindi mmoja baada ya mwingine unaweza kujenga jumla kubwa ya pointi kadri unavyoendelea kucheza kwenye sloti zinazoshiriki.

Kwa kifupi ushindi wako wa kwanza unakupa pointi huku ushindi wa pili ukiongeza pointi nyingine. Mwisho wa mchezo jumla ya pointi unazokusanya inakua kubwa zaidi. Hapo ndipo ushindani unapoanza kuwa mtamu zaidi, kila ushindi una nafasi ya kuongeza alama zako, na kila pointi unayokusanya inakupa sababu nyingine ya kuendelea kufuatilia maendeleo yako kwenye Endorphina Tournament.

Kwa hiyo, kama unapenda sloti na uko tayari kuingia kwenye mashindano yenye ladha tofauti, Endorphina Tournament sasa ipo Meridianbet kwa ajili yako. Anza kwa kuweka dau kwenye sloti zinazostahili, kusanya pointi zako kupitia ushindi na uone safari yako inavyobadilika kadri alama zinavyoongezeka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad