JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Rewards Burst Ya Meridianbet Yalipua Na Zawadi Za Hadi Tsh Milioni 75

Share This

 

WAPENZI wa burudani za michezo ya kasino mtandaoni, safari ya kushinda imepata msisimko mpya kupitia Rewards Burst Prize Drops kutoka Meridianbet, ambapo kila raundi inayokidhi vigezo inaweza kukufungulia mlango wa zawadi tamu papo hapo. Hii si nafasi ya kawaida, bali ni promosheni inayowaleta wachezaji karibu na zawadi za fedha taslimu pamoja na vizidishi vyenye uwezo wa kufikia hadi x1,000. Ukiwa tayari kujaribu bahati yako, kila raundi inaweza kuwa mwanzo wa ushindi mkubwa.

Kinachofanya Rewards Burst kuwa gumzo ni zawadi kubwa inayoweza kufikia hadi TSh 75,000,000. Kila mwezi, mchezaji mmoja mwenye bahati anaweza kuibuka na zawadi hiyo ya juu, huku maelfu ya zawadi nyingine zikitolewa kila mwezi kwa washiriki wanaokidhi vigezo. Mbali na zawadi hiyo kubwa ya fedha, wachezaji wanaweza pia kukutana na vizidishi vya kila siku kuanzia x5 hadi x1,000, hivyo kila raundi inaweza kuleta mshangao mwingine.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Na hapa ndipo mambo yanapokuwa matamu zaidi. Thamani ya vizidishi inahesabiwa kulingana na kiasi cha dau linalokidhi vigezo wakati Prize Drop inaposhuka, huku dau la juu linalozingatiwa likiwa TSh 3,000. Kwa mfano, ukiweka dau la TSh 600 na ukapata Prize Drop ya x500, hesabu yake ni rahisi, TSh 600 mara 500, sawa na TSh 300,000. Hivyo, dau dogo linaweza kufungua nafasi ya kupata zawadi kubwa zaidi kulingana na vizidishi utakavyopata.

Utaratibu wa kuingia kwenye burudani hii ni mwepesi. Weka dau linalokidhi masharti kwenye mchezo unaoshiriki, cheza na usubiri kuona kama Prize Drop itakukuta. Kwa kuwa zawadi zinatolewa kila siku na maelfu ya nafasi zipo kila mwezi, msisimko unaweza kutokea wakati wowote.

Kwa hiyo, kama unapenda burudani yenye sapraizi na nafasi za zawadi, Rewards Burst Prize Drops inakupa sababu nyingine ya kusuka jamvi lako. Kuanzia kizidishi cha x5 hadi x1,000, maelfu ya zawadi kila mwezi hadi nafasi ya kuwania zawadi kuu ya TSh 75 milioni, kila mzunguko una hadithi yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad