JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Rais Samia akutana na Kuzungumza na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiafrika (ADDI) Balozi Dkt. Arikana Chihombori-Quao, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Share This

  






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiafrika (ADDI) Balozi Dkt. Arikana Chihombori-Quao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 24 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiafrika (ADDI) Balozi Dkt. Arikana Chihombori-Quao baada ya mazungumzo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 24 Agosti, 2026.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad