JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Matukio katika Picha Banda la NACTVET Maonesho ya Wiki ya Elimu Tanga

Share This

 Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akiwa katika Banda la NACTVET kuangalia baadhi ya fani zilizo katika mashindano ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu ya Ujuzi na Ubunifu yanayoendelea jijini Tanga.

Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akiwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la  NACTVET  Benedetta Nduguru wakati Waziri Prof Mkenda alipotembelea Banda la NACTVET maonesho  ya Wiki ya Kitaifa ya  Elimu ya  Ujuzi na Ubunifu yanayoendelea jijini Tanga.






Matukio mbalimbali katika Picha Banda la NACTVET Maonesho ya Wiki ya Elimu Tanga,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad