JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Waziri wa Fedha na Kamishina wa Sensa Spika Mstaafu ndani ya Banda la TIA

Share This

  

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akipata maelezo katika Banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akikabidhiwa mfuko uliowekewa taarifa mbalimbali za Taasisi  katika Banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad