Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ni Bi. Bernadetta Ndunguru akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Baobab mkondo wa Amali Doreen Maki kuhusiana Fani ya Umeme alivyojipanga katika kufikia malengo ya Uhandisi wa Umeme wakati Mwenyekiti Baraza hilo wakati alipotembelea banda la NACTVET katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ni Bi. Bernadetta Ndunguru akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Bwiru mkoani Mwanza mkondo wa Amali Daud Elias akipata kuhusiana Fani ya Ujenzi wa Majengo alivyojipanga katika kufikia malengo ya Uhandisi wa Uhandisi wa Majengo wakati Mwenyekiti Baraza hilo wakati alipotembelea banda la NACTVET katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Bernadetta Ndunguru akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa NACTVET mara baada kutembelea Banda katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment