JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Matukio katika picha ya Mkuu wa Mkoa Chalamila katika Banda la Yas maonesho ya Sabasaba

Share This

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Albert Chalamila akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo kwenye Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (SABASABA) mara baada ya kutembelea banda hilo, Banda la Yas limekusanya suluhisho mbalimbali zinazolenga kuboresha maisha ya Watanzania, ikiwemo huduma ya uchunguzi wa macho bure, mpango wa kumiliki simu janja na rauta za 5G kwa mkopo, huduma za intaneti majumbani na kwa wajasiriamali kupitia Yas Fiber, suluhisho kwa wafanyabiashara na taasisi kupitia Yas Business, pamoja na huduma na suluhisho mbalimbali za kifedha kupitia Mixx.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila akizungumza katika  kwenye Banda la Yas katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (SABASABA) wakati alipotembelea Banda hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila akizungumza Mtoto aliyefika na mzazi wake kupata huduma ya Macho katika Banda la Yas  kwenye Banda la Yas katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (SABASABA) wakati Mkuu wa Mkoa huyo  alipotembelea Banda hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila akizungumza na mwananchi   kwenye Banda la Yas katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (SABASABA) wakati alipotembelea Banda hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad