JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOANI DODOMA

Share This

  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM) ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dodoma, kilichofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dodoma leo tarehe 04 Julai 2026.





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad