Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. William Samoei Ruto walipokutana wakati wa mkutano wa Jukwaa la Amani la Oslo 2026 (Oslo Forum 2026) unaofanyika mjini Oslo, Norway, tarehe 10–11 Juni 2026. Mkutano huo wa kimataifa wa kila mwaka unawaleta pamoja wasuluhishi wa migogoro, viongozi wa ngazi za juu, na wataalamu wa amani kutoka zaidi ya nchi 50 duniani. Mwaka huu, Oslo Forum inajadili kauli mbiu yenye uzito wa kipekee: "Gharama ya Vita, Thamani ya Amani" ("The Cost of War, the Price of Peace").
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.



No comments:
Post a Comment