JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


RAIS DKT. SAMIA AELEKEA MOSCOW URUSI KWA ZIARA YA KITAIFA

Share This





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipoondoka Katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam kuelekea Nchini Urusi kwenye Ziara ya Kitaifa ikiwa ni Mwaliko wa Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin Leo Juni 02,2026.
#Mamakaja #kazinaututunasongambele


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad