JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Mashabiki Wasubiri Burudani Kutoka kwa Majina Makubwa

Share This

 


LEO ndio Leo, wababe kuvunjana mbavu kuwania pointi 3 muhimu kwenye michuano hii mikubwa Duniani. Ushindi ni muhimu pia kwako ambapo kwa dau dogo tuu unaweza ukatengeneza mamilioni hapa.

Leo hii tutaanza kuangazia mtanange wa Spain vs Saudi Arabia ambapo wote hawa waili wametoa sare mechi zao za kwanza za ufunguzi. Kwenye Kundi hili H timu zote zimeanza na sare hakuna ambaye ameambulia ushindi wowote hadi sasa.

Vijana wa Luis de la Fuente wanahitaji ushindi mechi hii ya pili ili wajiweke sawa kwenye kufuzu nafasi inayofuta, kocha wa Taifa hilo aliamua kuwaaznsiha Lamine na Nico Williums lakini kwenye mechi hii ya pili wachezaji hao wanaweza kuanza kwenye kikosi.

Licha ya Spain kutawala mchezo wao wa kwanza kwa kumiliki mpira kwa asilimia kubwa na kutengeneza nafasi nyingi, lakini walishindwa kuzitumia. Kocha Luis de la Fuente amesisitiza kuwa hakuna sababu ya hofu, ingawa amekiri kuwa timu yake ilikosa ukali katika eneo la mwisho. Jisajili hapa

Tusua leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa upande wa Saudi Arabia walionyesha nidhamu kubwa ya kujilinda dhidi ya Uruguay na walikuwa karibu kupata ushindi kabla ya kuruhusu bao la kusawazisha mwishoni mwa mchezo.

Wakiwa na wachezaji wenye kasi kwenye mashambulizi ya kushtukiza, Saudi Arabia wataingia uwanjani wakiamini wanaweza kuisumbua Spain kama walivyowahi kufanya kwa vigogo wengine katika michuano mikubwa. Beti yako unaiweka wapi?. Beti hapa

Hivyo hii ni mechi ambayo inaweza tena ikawa ngumu kwa mabingwa hawa wwa Europe kwani wanakutana na timu nyingine ambayo inaweza kuzuia hivyo ufanisi mbele kwenye lango la goli unahitajika zaidi.

Mechi nyingine ni hii ya Tunisia dhidi ya Japan, ambapo timu kutoka Afrika kwenye mechi ya kwanza walipoteza kwa kipigo kiziro, huku Japan wao wakiondoka na sare baada ya kusawazisha bao la pili. Jisajili hapa na Meridianbet.

Kwenye Kundi hili F, ni timu moja tuu ambayo ilishinda mechi yao ya kwanza wengine wakitoa sare na mmoja akipoteza. Hii ni mechi ambayo Samurai Blue wanahitaji kushinda na kikosi cha wao kupata ushindi wanacho. Wanakutana ana Tunisia ambao bado hawana ubora wa kupambana na kushinda.

Japan wanaingia wakiwa na morali ya juu kutokana na ubora wa kiufundi na kasi yao ya kushambulia, huku Tunisia wakitarajiwa kucheza kwa tahadhari zaidi wakisaka mwitikio baada ya kuanza vibaya kampeni yao. Suka jamvi hapa

Kwa kiwango walichoonyesha katika mchezo wa kwanza, Japan wanaonekana kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuondoka na pointi tatu, lakini presha ya Tunisia ya kutafuta matokeo inaweza kuifanya mechi hii kuwa ngumu na yenye ushindani mkubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad