MCHEZO huu wa ligi unakuja wakati Barcelona ikiwa tayari imeshinda taji la ubingwa, huku Valencia ikiwa katikati ya msimu wa kusuasua.
Kwa Barcelona, ushindi utakuwa wa kudumisha kasi na kuwafurahisha mashabiki, ilhali Valencia wanahitaji pointi za kusalia eneo salama la msimu. Licha ya kuwa nyumbani, Valencia hawapo kwenye shinikizo la kushuka daraja.
Barcelona wanaweza kukosa nyota wao kama, de Jong Frenkie, Lamine Yamal na Torres Ferran ambao wanaumwa, lakini wana kikosi cha kutosha. Kwa upande mwingine, Valencia wamekumbwa na majeruhi ya wachezaji wao muhimu wa ulinzi kama José Gayà, Copete Jose, Diakhaby Mouctar, Foulquier Dimitri, Renzo Saravia na Beltran Lucas na hivyo kuwaweka katika hatari kubwa ya kufungwa mabao mengi. Hali hii itawalazimu kutumia mbinu za kujihami zaidi.
Barcelona atapanga kutumia umiliki wa mpira na mashambulizi ya haraka kupitia wachezaji kama Raphinha, Rashford Marcus na Lewandowski Robert. Valencia watategemea mipira ya kukaba na mashambulizi ya mara kwa mara kupitia kipaumbele cha Hugo Duro na Pepelu katika kiungo. Kipa wa Valencia, Mamardashvili, anaweza kuwa mhusika mkuu kwa kufanya ukombozi wa ajabu.Jisajili
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Barcelona ana nafasi kubwa ya kushinda kwa angalau mabao mawili ya tofauti kutokana na kiwango chao cha juu cha kufunga, hasa ikiwa Valencia watafungwa bao la mapema. Valencia wanaweza kuteka au kushinda tu kama wataweza kukaa imara kwa muda mrefu na kutumia mipira iliyokufa.
Mchezo wa Leo utakuwa na mabadiliko makubwa ya mbinu kwa Barcelona wakiwa wanatafuta burudani na Valencia wakitafuta uhai. wachezaji wanaweza kuanza kwa kasi ya kawaida lakini kuongezeka nguvu kipindi cha pili. Uamuzi wa mwamuzi utakuwa muhimu, kwani Valencia ana tabia ya kucheza kigumu nyumbani. Kwa ujumla, Barcelona wana uwezo wa kuchukua ushindi wa kusadikisha, lakini Valencia wakiwa na hamasa ya mwanzo wanaweza kuwa tatizo. Mashabiki wang’amue kufuata mchezo moja kwa moja kuanzia saa 22:00 usiku Leo.



No comments:
Post a Comment