JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Nani Kuondoka na Pointi 3 Leo?

Share This

 


JUMATANO ya leo mechi za ligi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule EPL na kwingine huku kuelekea mwishoni mwa ligi pointi 3 zikiwa ni muhimu sana. Je nani kuondoka na ushindi?

Ligi pendwa Duniani, yaani EPL kutakuwa na mechi moja kali sana kati ya Manchester City dhidi ya Crystal Palace ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi wakiwa pia na uhitaji wa ushindi kwenye mechi hii. Vijana wa Pep Guardiola wanahitaji ushindi kwenye mechi hii kujiweka vyema kwenye mbio za ubingwa.

Kwenye mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana hawa wawili, City aliondoka na ushindi mnono. Hii ni mechi nyingine ambayo wanakutana na inaweza ikawa inabeba hatma ya ubingwa wa wenyeji kwani presha ya kuchukua taji hilo inazidi kupamba moto baada ya kutoa sare dhidi ya The Toffees.

Nafasi ya kuondoka na ushindi pale kwa wakali wa ubashiri wamepewa City kutokana na kiwango chao kwenye ligi msimu huu. Je Palace wanaweza kuwazuia wenyeji kupata ushindi siku ya leo?. Jisajili hapa.

Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia kule Ufaransa LIGUE 1 itaendelea huku nafasi ya wewe kutengeneza mkwanja ikiwa nje nje kabisa vinara wa ligi PSG watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya RC Lens ambapo timu hizi zote mbili zipo kwenye mbio za ubingwa.

Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 6 pekee, bingwa mtetezi anahitaji kushinda mechi hii ili ajiweke vyema kileleni na kwenye mbio za ubingwa huku zikiwa zimesalia mechi chache sana. Mechi ya kwanza walipokutana kwenye ligi Lens alipasuka kule Parc des Princes hivyo hii ni nafasi ya wao kulipa kisasi.

Ikumbukwe kuwa PSG mpaka sasa wapo kwenye nafasi ya kushinda matatu baada ya kuingia kwenye Fainali za UEFA msimu huu. Kushinda mechi hii ni muhimu sana kwao kwani kutawasogeza kwenye kuchukua mataji mengi na kuwafanya kuwa timu bora tena kwenye bara la Ulaya. ODDS KUBWA zipo hapa.

Vilevile kutoka Hispania mechi zipo nyingi lakini kuna mtanange huu hapa wa Villarreal dhidi ya Sevilla ambapo wote wawili wanagombania nafasi tofauti kwenye ligi. Nyambizi wa njano wao wanapambania nafasi ya kucheza michuano ya UEFA msimu ujao huku wageni wao wakihitaji ushindi kujiondoa kwenye nafasi ya kushuka daraja msimu huu.

Villarreal wao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi ambapo mpaka sasa tayari nafasi ya wao kushiriki UEFA ipo, hivyo anayehitaji nafasi hii ni Sevilla ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi.

Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000. Hivyo ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi na wakali hawa wa ubashiri siku ya leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad