Dating siku hizi? Hapana… hiyo ni full-time job ambayo haina contract.
Unapambana na kazi mchana, usiku unapambana na feelings.Mtu anakutumia “good morning babe” leo, kesho anakuacha kwenye blue ticks kama umetuma application ya kazi. No response. No update. Hakuna hata “seen with respect.”
Unajiuliza: shida iko wapi? Kadri unavyofikiria, ndivyo unachoka zaidi.
Ukweli ni huu—mahusiano mazuri si rahisi. Na consistency? Hiyo ni luxury.
Watu wanabadilika. Mood zinabadilika. Kitu pekee kinachobaki consistent ni confusion… na machozi ya kiwango cha juu kidogo.
Halafu kuna vitu vingine vidogo vinavyokuja kuku-save. Kama baridi ya jioni baada ya siku ndefu.
Kama funda la kwanza la kinywaji kilichotengenezwa vizuri kwa ustadi. Gordon’s Premix Cocktail waliinielewa kidogo hapo.
Unajua ile feeling ya kufungua kitu, na unajua kabisa kitakuwa sawa?
Hakuna masuala ya kukisia. Hakuna “leo itakuwaje?”
Gordon’s Premix ni perfectly mixed. Tamu. And always consistent.
Tofauti na baadhi ya watu—hii haina mixed signals. Baada ya siku ya emails zisizoisha na chats zisizojibiwa, unahitaji kitu ambacho hakikuchoshi kufikiria.
Hakuna “tonic imeisha.” Hakuna “subiri kidogo.” Hakuna drama.
Unachofungua, ndicho unachokipata.
Na labda hapo ndipo somo lilipo. Especially ikiwa baridi na mvua hizi zinazoendelea.
Consistency sio kelele. Sio promises nyingi.
Ni ile hali ya kujua—hata bila kuuliza—kila kitu kiko sawa.
Watu watafanya ugumu uwe mgumu zaidi.
Lakini angalau, si kila kitu maishani kinahitaji effort hiyo.
Vingine… vinafanya tu kazi.
Kama ile cocktail in a bottle, Gordon’s Premix.



No comments:
Post a Comment