JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Vodacom Tanzania Plc yashiriki kongamano la wadau wa sekta ya afya binafsi jijini Dodoma.

Share This

Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc Chiha Nchimbi (katikati) akifafanua kuhusu huduma ya afya mkopo kwa Naibu Waziri wa afya Dk Florence Samizi aliyetembelea banda la Afya mkopo katika kongamano la wadau wa sekta ya afya binafsi linaloendelea jijini Dodoma. 

Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na PharmAccess Foundation kupitia Medical Credit Fund wanatoa huduma ya mikopo kwa watoa huduma binafsi wa sekta ya afya Kupitia mfumo wa LIPA NAMBA, watoa huduma wanapata mikopo kwa haraka, kwa urahisi na kwa masharti nafuu ili kupanua huduma, kuboresha miundombinu na kukuza biashara zao. 

Kushoto kwake ni Dk Heri Marwa Mkurugenzi wa PharmAccess Foundation na kulia ni Maula Mafuru Meneja mauzo wa M-Pesa kanda ya kati 






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad