WAFANYAKAZI Wanawake kutoka Kampuni ya Sukari Kilombero walikusanyika kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 chini ya kauli mbiu “Give to Gain” Tukio hili lilijumuisha tafakuri za Uwezeshaji, kushirikishana maarifa, kutambua wafanyakazi walio hudumu muda mrefu na liliheshimiwa kwa uwepo wa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bi. Diana Mwakitwange, kama Mgeni Rasmi.
Kampuni ya Sukari Kilombero inajivunia wafanyakazi wetu wanawake wa kipekee na mchango mkubwa wanaoutoa katika biashara yetu na jamii kwa ujumla.







No comments:
Post a Comment