RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao, tarehe 26 Machi, 2026, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye.

.jpeg)



No comments:
Post a Comment