
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Ndugu Bakari Machumu akiwa kwenye picha na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa katika Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Machi, 2026.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Ndugu Bakari Machumu akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa katika Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Machi, 2026.
.jpeg)


No comments:
Post a Comment