
LEO hii Meridianbet inaangazia klabu ya Wolverhampton Wanderers ambao wamekuwa na msimu mbaya kwenye mashindano yote hadi sasa. Timu hiyo kutoka Uingereza inahitaji mabadiliko za haraka sasa kubakia kwenye ligi msimu ujao.
Wolverhampton Wanderers wameonyesha ukuaji na mapambano yasiyo na kifani kwenye mashindano yote waliyoshiriki. Licha ya changamoto za kiufundi na ushindani mkali kutoka klabu kubwa za ligi, Wolves wameendelea kupambana, wakionyesha ari, ustadi, na umoja wa kipekee ndani ya kikosi chao.
Kikosi hicho ambacho kipo chini ya kocha mkuu Rob Edwards kimejikuta kwenye hali mbaya baada ya kuanza vibaya kwenye ligi kuu ya Uingereza na kuwafanya mpaka sasa washike nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi.
Mpaka sasa wamekusanya pointi 13 pekee kwenye mechi 29 walizocheza ikiwa ndio timu ambayo imecheza mechi nyingi hadi sasa licha ya kupata ushindi wa jana wakiwa nyumbani dhidi ya Aston Villa.
NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A25. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Ingawa Wolves wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi lakini ni moja ya timu ambayo inalea ugumu inapokutana na timu kubwa hasa mara ya mwisho walipoweza kuwazuia Arsenal kupata ushindi dakika za mwisho kabida.
Ligi kuu ya Uingereza inazidi kupamba moto na kila mechi imekuwa ngumu kabisa huku nafasi ya wao kubakia kwenye ligi msimu ujao inaonekana kuwa ngumu kwa namna moja au nyingine. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Ingia na ubashiri hapa.
Kwenye mashindano ya FA CUP, Wolves wameonyesha dhamira ya kusonga mbele. Wamekuwa wakicheza kwa tahadhari lakini kwa uthubutu, wakilenga kufika mbali na kuacha alama katika mashindano hayo licha ya kuwa na msimu mbaya.
Je Mbwa Mwitu msimu huu wanaweza kushuka daraja?. Au wanaweza kupambana na kubakia kwenye ligi kutokana na mechi ambazo zimebaki mpaka sasa?. Jisajili na ubashiri na Meridianbet mechi zote.


No comments:
Post a Comment