JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Ijumaa ya Bahati, Geuza Kila Wikiendi Kuwa Ushindi na Meridianbet

Share This

 


HABARI njema kwa wapenzi wa michezo ya ubashiri. Meridianbet imezindua ofa mpya inayosisimua inayojulikana kama Lucky Friday, ikiwa ni fursa ya kipekee ya kuanza wikiendi yako kwa matumaini mapya ya ushindi. Sasa kila Ijumaa siyo siku ya kawaida tena, bali ni mwanzo wa safari ya kupata zawadi kupitia michezo unayoipenda.

Kupitia promoshoni hii, unachotakiwa kufanya ni rahisi kabisa, cheza namba zako pendwa kwenye Lucky 6 au Keno siku ya Ijumaa, halafu subiri zawadi yako siku ya Jumamosi. Ndiyo, Meridianbet wanakurudishia 10% ya kiasi chote ulichotumia, ili kuhakikisha hata pale mambo yanapokwenda tofauti, bado una sababu ya kutabasamu.

Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.

Zaidi ya hayo, kushiriki ni rahisi kwa kila mtu. Kiwango cha chini cha tiketi ni TZS 500 tu, hivyo kila mchezaji ana nafasi ya kushiriki. Hii ni nafasi nzuri kwa wachezaji wapya na wale waliobobea kuongeza msisimko kwenye michezo yao huku wakijihakikishia faida ya ziada.

Usisahau kwamba unaweza kupata hadi TZS 25,000 kama bonasi ya juu kabisa kila wikiendi. Mgao wako utahesabiwa kulingana na 10% ya jumla ya hasara zako ndani ya kipindi cha wikiendi, hii ina maana hata kama hujashinda, bado unarudishiwa sehemu ya fedha zako ili uendelee kucheza kwa nguvu zaidi.

Hii ndiyo nafasi yako ya kufanya kila Ijumaa iwe ya kipekee. Ingia sasa Meridianbet, cheza Lucky 6 au Keno, na ujionee mwenyewe ladha ya Lucky Friday. Usikubali kukaa pembeni wakati wengine wanachukua nafasi, bahati inaweza kuwa yako wikiendi hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad