JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Expanse Studios Waingia Stake Kutoa Burudani Kwa Wabashiri

Share This

 


SOKO la ubashiri linaendelea kushuhudia ageuzi makubwa huku Expanse Studios wakizidi kuthibitisha ubora wao kimataifa. Baada ya kujenga jina imara kwa kushirikiana na majukwaa makubwa kama Meridianbet, sasa wamepiga hatua nyingine kubwa kwa kuingia rasmi kwenye jukwaa la kimataifa la Stake, hatua inayotarajiwa kuleta mapinduzi mapya ya burudani kwa wabashiri kote duniani.

Expanse Studios wamekuwa kinara wa ubunifu kwa kutengeneza michezo yenye mvuto wa kipekee na viwango vya juu vya ushindi vinavyowavutia wachezaji duniani kote. Majina kama Gates of Olympia, Super Heli, PIA Premium, Keno, Zombie Apocalypse na Wild white whale tayari yameshaacha alama kubwa kwenye ulimwengu wa ubashiri. Sasa kupitia Stake, michezo hii maarufu inapatikana kwa urahisi zaidi, ikileta burudani na ushindi karibu zaidi na wewe.

Kilicho nyuma ya mafanikio haya ni nguvu ya Meridian Holdings Inc., ambayo inasimamia chapa kubwa duniani kama Meridianbet Group, RKings, Mexplay na Classics for a Cause. Muunganiko huu wa uzoefu na ubunifu umeifanya Expanse kuwa moja ya kampuni zinazokua kwa kasi zaidi katika sekta ya michezo ya kubahatisha.

Akizungumza, mtendaji mkuu wa Expanse Studios Damjan Stamenkovic, alisisitiza kuwa kuungana na Stake ni hatua muhimu ya kupanua wigo wa huduma zao kimataifa. Alieleza kuwa kupitia mtandao wa Hub88, wataweza kuwafikia wachezaji wengi zaidi duniani, huku wakiongeza usambazaji na ubora wa huduma zao kwa kiwango cha juu zaidi.

Kwa zaidi ya washirika 1,300 duniani na mkusanyiko wa zaidi ya michezo 70 ya kipekee, Expanse Studios wanaendelea kuthibitisha kuwa wao ni chaguo sahihi kwa wanaotaka michezo iliyojaa burudani na ushindi. Ushirikiano huu mpya na Stake unafungua milango mipya ya fursa, na sasa ni wakati wako kujiunga na safari hii ya ushindi na kufurahia michezo bora.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad