JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


SERIKALI, KOFIH KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI MAGONJWA YA MLIPUKO

Share This

Na Clement Robert, WAF – Dar es Salaam

Wizara ya afya kupitia maabara ya taifa ngazi ya jamii imefanya mapitio ya mradi wa kazi za mwaka wa tatu na shirika la Korea KOFIH wenye lengo la kuijengea uwezo maabara ya taifa ili kutambua magonjwa ya mlipuko 

Hayo yamebainishwa leo Februari 19, 2026 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa maabara ya taifa ya afya ya jamii Bw. Ambele Mwafulango wakati wa uzinduzi wa mradi wa kazi za mwaka wa tatu naina ya Korea na maabara ya taifa 
Amesema asilimia kubwa ya mambo yalipangwa ndani ya miaka miwili kwenye mradi huo wa miaka mitano yametekelezwa ikiwa ni pamoja na kununua vifaa vya maabara, vitendanishi na kujengea uwezo maabara ya taifa juu ya utambuzi wa magonjwa ya mlipuko

“Kwa tathmini tuliyoifanya, utekelezaji wa mradi umefikia hatua ya kuridhisha ndani ya miaka miwili ya mwanzo. Tumeimarisha miundombinu ya maabara, tumepata vifaa na vitendanishi vya kisasa, pamoja na kuongeza ujuzi kwa wataalamu wetu





 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad