JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Chelsea Kwenye Vita ya Pointi EPL, Usikose Kubashiri Kupitia Meridianbet

Share This

 


HUKU Chelsea wakiendelea kufanya maajabu kwenye mechi zao wewe una nafasi ya kutusua na wakali wa ubashiri Meridianbet. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.

The Blues au Chelsea ni miongoni mwa klabu kubwa na zenye historia ndefu ya mafanikio katika soka la Uingereza na Ulaya kwa ujumla. Katika msimu wa hivi karibuni, klabu hii imekuwa ikipitia kipindi cha mabadiliko makubwa, yakihusisha falsafa ya uchezaji, mbinu za kiufundi pamoja na matumizi ya wachezaji vijana na waliobobea. Mabadiliko haya yameathiri kwa namna mbalimbali mwenendo wao katika Ligi Kuu ya Uingereza na mashindano ya UEFA.

Katika Ligi Kuu ya Uingereza, Chelsea wameonyesha hali ya kupanda na kushuka, lakini kwa ujumla wameendelea kujijenga kama timu yenye ushindani mkubwa.. Uwepo wa wachezaji kama Cole Palmer, Enzo Fernández na Moisés Caicedo umeongeza ubora katika safu ya kiungo na ushambuliaji, hali ambayo imeisaidia Chelsea kuunda nafasi nyingi za kufunga mabao.

Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mpaka sasa kwenye ligi kuu ya Uingereza wpao nafasi ya 5 kwenye mechi 23 alizocheza akipata pointi 37 baada ya kushinda mechi 10, sare 7 na kupoteza mechi 6. Jisajili na Meridianbet kwani ODDS KUBWA zipo hapa.

Hata hivyo, changamoto za majeraha kwa baadhi ya wachezaji muhimu zimeathiri uthabiti wa matokeo ya Chelsea katika ligi. Licha ya hilo, benchi la ufundi limeonyesha uwezo wa kufanya mabadiliko sahihi, kuwapa nafasi wachezaji wa akiba na vijana, jambo ambalo limeimarisha kina cha kikosi. Kwa matokeo waliyopata, Chelsea wameendelea kupigania nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi na kujiweka kwenye mchakato wa kupigania kufuzu mashindano ya Ulaya msimu ujao.

Kwenye mashindano ya UEFA, hasa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Chelsea wameonyesha sura tofauti yenye ukomavu na umakini wa hali ya juu. Timu imeweza kushindana na vigogo wa soka la Ulaya kwa nidhamu kubwa ya kiufundi, hasa katika ulinzi na matumizi ya mashambulizi ya kushtukiza.

Kwa sasa wana kocha mpya ambaye ni Liam Rosenior amechangia kwa kiasi kikubwa mwenendo huu kwa kusisitiza nidhamu ya timu, mshikamano wa wachezaji na uelewa wa majukumu uwanjani.

Chelsea hapo jana wameweza kuingia hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya moja kwa moja baada ya kuwafunga mabingwa wa ligi kuu ya Italia Napoli kwa mabao 3-2.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad